TUNAUZA COMPUTER AINA ZOTE KWA BEI POA SAWA NA BURE, PIA TUNAUZA SPEA ZOTE ZA COMPUTER

NEWS

Google: wafanyakazi 48 wafutwa kazi kutokana na unyanyasaji wa kingono.

Google sign Google imewafuta kazi watu 48 wakiwemo maafisa 13 wakuu kutokana na tuhuma za unyanyasaji wa kingono tangu 2016.

Katika barua kwa wafanyakazi wake, mkurugenzi mmkuu mtendaji Sundar Pichai amesema kampuni hiyo kubwa ya teknolojia inachukua 'msimamo mkali' dhidi ya tabia zisizo sawa.

Barua hiyo inafuata ripoti ya New York Times kwamba muasisi wa mfumo wa
Msemaji wa Bwana Rubin alikana tuhuma hizo, gazeti hilo limesema.
Sam Singer amesema Bwana Rubin aliamua kuondoka Google mnamo 2014 kuanzisha kampuni yake ya teknolojia kwa jina Playground.
'Aliagwa kama shujaa' wakati alipoondoka, gazeti hilo linasema.
Barua ya Pichai inasema ripoti ya New York Times ni "ngumu kuisoma" na kwamba Google "inachukulia kwa uzito" suala la kutoa "nafasi salama ya kazi na inayotoa fursa kwa usawa".







































Andy Rubin

"Tunataka tuwahakikishie kwamba tunatathmini malalamiko yote kuhusu unyanyasaji wa kingono au utovu wowote wa nidhamu, tunachunguza na tunachukua hatua," aliendelea.
Hakuna mfanyakazi aliyetimuliwa katika miaka miwili iliyopita aliyepokea kitita cha kuondoka Pichai ameongeza.


Kwa mujibu wa ripoti ya New York Times, wakurugenzi wawili wa Google, wameeleza kuwa aliyekuwa mkurugenzi mkuu mtendaji Larry Page aliomuamba bwana Rubin kujiuzulu baada ya kampuni hiyo kuthibitisha malalamiko ya mfanyakazi mwanamke kuhusu tnedo la ndoa lililofanyika katika chumba cha hoteli moja mnamo 2013.
Rubin alisema hakufanya utovu wowote wa nidhamu na aliondoka Google kwa hiari yake.












Google headquarters in Hamburg
Tuhuma hizi zinaongezea malalamiko kuhusu kukanwa kwa utamaduni ulioko unaoshinikiza unyanyasaji wa kingono katika kampuni hiyo iliyo na idadi kubwa ya wanaume.
Hisa za Alphabet, inayoimiliki kampuni ya Google, zimeshuka kwa zaidi ya 3% New York baada ya kutangaza mapato ya $33.7bn kwa miezi mitatu hadi Septemba - kiwango kilicho chini kidogo na kilichotarajiwa na wacahambuzi.
Hatahivyo faida jumla ilikwea kutoka $2.5bn hadi $9.2bn - kiwango cha juu zaidi ya ilivyotarajiwa.

No comments:

Post a Comment

TUNAUZA COMPUTER AINA ZOTE KWA BEI POA SAWA NA BURE, PIA TUNAUZA SPEA ZOTE ZA COMPUTER

Powered by Blogger.

Video

News

Search This Blog

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Archive

Search This Blog

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Author Details

Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.

Breaking

Fashion

News

Technology

Technology

Featured

Videos

Contact Form

Name

Email *

Message *

Sponsor

AD BANNER

Text Widget

Services

Over 600,000+ Readers Get fresh content from FastBlog

Comments

Recent Posts

Unordered List

  • Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  • Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  • Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.